THE INDUSTRY MUSIC LABEL
Baada
ya kutamba Mwaka Jana Africa nzima na wimbo unaoitwa ‘Game’, Kundi la
Navy Kenzo limeanza mwaka vizuri baada ya kutoa wimbo mpya pamoja na
video yake unaoitwa “Kamatia” .
Wimbo huo umeshaanza kuwa gumzo sehemu mbali mbali na kuonyeshwa kwenye TV za kimataifa siku mbili tu baada ya kutoka.
Uzinduzi
wa Wimbo Huo ulifanyika Kiaina yake kwa Staili ya ‘Flash Mob’ Kwenye
Club ya Rhapsody kwa kuwasuprise waliokuwa ndani ya Club hiyo.
Kundi
la Navy Kenzo linaloundwa na Aika na Nahreel ,mpaka sasa wameshatoa
nyimbo kadhaa zilizotamba sana kama Moyoni, Bokodo, Visa na nyingine
nyingi.
Navy
Kenzo wameamua kutoa Wimbo pamoja na Video yake moja kwa moja kutokana
na ushindani uliopo kwa sasa kwenye Music wa Bongo Flava.
Video imefanyika nchini South Africa na Muongozaji wa Video wa kimataifa anayeitwa Justin Campos.
==>Au Angalia Video Hapa;VIDEO
TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues.
Journalists who produce the best stories published or broadcasted in
media that reach African audiences, will win a major international
reporting trip.
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues. Journalists who produce the best stories
published or broadcasted in media that reach African audiences, will win
a major international reporting trip.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
BURUDANI
on Monday, 1 February 2016
Post a Comment