Wiki kadhaa zilizopita, Diamond Platnumz alisaini mkataba wa mamilioni
ya shilingi kuwa balozi wa kampuni ya simu ya Vodacom Tanzania.
Dili hilo limemfanya muimbaji huyo wa ‘Make Me Sing’ aonekane kwenye
matangazo ya TV, yale ya barabarani, kwenye magezeti na vipeperushi
vingine pamoja na kusikika kwenye matangazo ya redio.
Kwenye tangazo la TV, si Diamond pekee anayeonekana, bali familia yake
nzima – wapo mpenzi wake Zari, mwanae Tiffah na mama yake. Lakini pia
kuna tangazo moja la redio ambalo Zari anasikika akiwemo pamoja na
Diamond na Mpoki.
Yeye mwenyewe Dangote alidai kuwa familia yake nzima ni brand na hilo
halina ubishi. Lakini huenda Zari akawa anamega kipande kikubwa pia cha
keki hiyo iliyotokana na mkataba wa Vodacom. Si jambo la kushangaza
kwakuwa Mganda huyo sasa ni ubavu wa kushoto wa staa huyo na hakuna
anayebisha kuwa mrembo huyo amekuwa akipush zaidi kampeni ya Ongea
Deilee kwenye akaunti yake ya Instagram.
Lakini kibiashara, tunajua kuwa hata kama Zari ni mpenzi wake na Diamond
mwenye ubalozi huo, na kwa ukubwa alionao, hawezi kupiga promo tu
kwasababu anamsaidia mume wake. Yaani kwa mfano haijawahi kutokea Jay Z
akimsaidia Beyonce kupromote kampeni za Pepsi kisa anamsaidia mke wake.
Kwanini? Kwasababu ni kila mmoja anasimama kama brand inayojitegemea.
The same applies kwa Zari na Diamond. Na hivyo kwakuwa tunaona jinsi
Mama Tiffah alivyo mstari wa mbele kupush kampeni hiyo, tunaanza
kufikiria kuwa huenda wawili hao wamekula pasu mkwanja huo unaotokana na
ubalozi wa Diamond – fifty fifty!
TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues.
Journalists who produce the best stories published or broadcasted in
media that reach African audiences, will win a major international
reporting trip.
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues. Journalists who produce the best stories
published or broadcasted in media that reach African audiences, will win
a major international reporting trip.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
UDAKU
on Tuesday, 23 February 2016
Post a Comment