Mbunge wa Nzega, Dk Hamis Kigwangalla amewataka wanaowania kuteuliwa na CCM kugombea urais kuacha kukashifiana, kutukanana, kudharauliana na kuzungumza juu ya afya za wengine kwa kuwa mpaka sasa haijulikani nani atashinda.
Akizungumza na wana-CCM waliojitokeza kwenye ukumbi wa CCM Manispaa ya Iringa kwa ajili ya kumdhamini, Dk Kigwangalla alisema baadhi ya wanaowania kuteuliwa na CCM, wameanza kuzungumzia afya za wenzao, jambo ambalo ni hatari.
Alisema kinachotakiwa ni kushindana kwa hoja, mikakati na sera na siyo kuzungumzia afya za wengine na kutukanana majukwaani, kwani Mungu pekee ndiye anayejua lini na wapi binadamu atakufa.
Alisema Watanzania wanatakiwa kuwapima wagombea wa nafasi mbalimbali, hasa urais kwa vigezo vilivyopo kwenye Katiba ya nchi, katiba ya chama na vigezo vingine wanavyoona vinafaa katika kuwapata viongozi wao.
Alisema mtu anaweza kuwa na uzoefu wa kufanya kazi serikalini kwa miaka 40, lakini akawa siyo mwadilifu na kwamba kila mmoja ana uzoefu wake katika taaluma yake.
TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues.
Journalists who produce the best stories published or broadcasted in
media that reach African audiences, will win a major international
reporting trip.
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues. Journalists who produce the best stories
published or broadcasted in media that reach African audiences, will win
a major international reporting trip.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
on Tuesday, 30 June 2015
Post a Comment