BREAKING NEWS Naibu katibu mkuu bara wa chama cha wananchi CUF akiambatana na mkurugenzi wa habari wa chama hicho watazungumza na waandishi wa habari muda wowote kuanzia sasa wakielezakutoridhishwa kwa CUF na mwenendo wa UKAWA hasa ushirikishwaji katika kampeni, ukiukwaji wa makubaliano waliyosaini pamoja na mgawanyo wa majimbo. Itakuwa LIVE Azam Tv.
Loading...
Home
» SIASA
» BREAKING NEWZ:: NAIBU KATIBU MKUU WA CUF BARA AKIAMBATANA NA MKURUGENZI WA HABARI TAIFA KUZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI MDA MFUPI UJAO
BREAKING NEWZ:: NAIBU KATIBU MKUU WA CUF BARA AKIAMBATANA NA MKURUGENZI WA HABARI TAIFA KUZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI MDA MFUPI UJAO

Post a Comment