Viongozi wote wa CCM wa kata ya mkomazi na pamoja na wapiga kura 1,400
wa eneo hilo wilayani Korogwe wamejiunga na CHADEMA huku baadhi yao
wakiamua kugombea nafasi mbali mbali za uongozi kwa tiketi ya chama
hicho.
Wakizungumza katika mkutano wa kampeni ulifanyika katika kijiji cha
mikocheni kilichopo kata ya mkomazi wilayani Korogwe baadhi ya viongozi
hao pamoja na wengine wa CCM katika kata sita waliokatwa majina yao
katika zoezi la kura za maoni kwa tiketi ya CCM wamesema wameamua
kujiunga na chadema pamoja na wapiga kura wao ili kuongeza nguvu kupata
wawakilishi wa wananchi katika baraza la madiwani la halmashauri ya
wilaya ya Korogwe.
Kwa upande wake katibu wa CHADEMA jimbo la Korogwe Bwana.Salim Sempoli
amemuomba mwenyekiti wa tume ya taifa ya uchaguzi jimbo la Korogwe
kuharakisha malalamiko ya wapiga katika baadhi ya vituo ambapo sehemu
kubwa ya majina ya wapiga kura katika jimbo la Korogwe vijijini
hayaonekani na hadi sasa hakuna utaratibu uliofanywa kusaidia tatizo
hilo kwa sababu linaweza kuleta viashiria vya uvunjifu wa amani wakati
wa zoezi la kupiga kura.
Kufuatia hatua hiyo mgombea ubunge kwa tiketi ya Chadema Emmanuel Kimea
amewataka wananchi kuwachagua viongozi wa chama hicho kuanzia ngazi ya
taifa,ubunge na udiwani kwa sababu ndani9 ya chama kikoja changamoto
zinazowakabili katika kata ya mkomazi ikiwemo ya migogoro ya ardhi
haiwezi kumalizika kama hawatafanya mabadiliko.
Chanzo: ITV
TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues.
Journalists who produce the best stories published or broadcasted in
media that reach African audiences, will win a major international
reporting trip.
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues. Journalists who produce the best stories
published or broadcasted in media that reach African audiences, will win
a major international reporting trip.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
SIASA
on Friday, 18 September 2015
Post a Comment