|
Mbatia na Lissu |
Kuna kila dalili kuonyesha mbatia atakihama chama chake kwenda Chadema.
karibuni akionekana kua msemaji wa mambo ya Chadema hadi kuwashangaza
wafuatiliaji wa mambo ya siasa. sasa amejitenga na viongozi wenzake wa
NCCR Mageuzi hadi wanatishia kujitoa UKAWA.. ameshindwa kutetea maslahi
ya NCCR ndani ya UKAWA na inaekekea amelewa mahaba ya Lowassa mtu
anayedaiwa kua tajiri sana. Je Mbatia naye atakua nyumbu kufuata malisho
Chadema? si siku nyingi tutapata jibu.
Sumaye ambanae inasemekana amejiunga na NCCR japo hakuna ushahidi wa
kukabidhiwa kadi ameoneka na jezi ya CHADEMA kwenye mikutano akipiga
debe kwa Lowassa. ni wazi NCCR ni mwathirika wa UKAWA na itabaki na
ukiwa. inaelekea nyumbu wote watafuata alipo EL. alipo Edo nyumbu wote
wapo. tuombe mungu apishilie mbali UKAWA kutwa uongozi ama sivyo tutaona
mparurano wa kugombea vyeo.. Sumaye tayari amapewa uwaziri mkuu mbowe
inasemekana atakabidhiwa hazina! mbatia bado haifahamiki etc
By Kmbwembwe
TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues.
Journalists who produce the best stories published or broadcasted in
media that reach African audiences, will win a major international
reporting trip.
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues. Journalists who produce the best stories
published or broadcasted in media that reach African audiences, will win
a major international reporting trip.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
SIASA
on Friday, 18 September 2015
Post a Comment