Septemba 20 ilikuwa siku ya furaha kwa familia ya Diamond Platinumz na
mashabiki wake waliposherehekea siku ya 40 ya mtoto wake ‘Tiffah’ tangu
alipozaliwa.Sherehe hiyo pia iliambatana na kuoneshwa hadharani kwa mara
ya kwanza kwa mtoto huyo ambaye amekuwa maarufu na milionea akiwa bado
mchanga.
Kumekuwepo na taarifa mbalimbali kuwa kuna kiasi cha fedha ambacho
kimewekwa na Diamond Platinumz kwa ajili ya watu ambao wangependa
kumuona Tiffah uso kwa uso.
Hata hivyo, Diamond Platinumz ameiambia BBC kuwa taarifa hizo ni za
uongo na kwamba hakuna gharama yoyote ambayo mtu anapaswa kulipia kwa
kumuona mtoto huyo ambaye picha yake ya kwanza inayoonesha sura yake
hadharani ilidhaminiwa na benki kubwa nchini.Katika hatua nyingine,
Diamond alieleza sababu zilizopelekea kumfungulia binti yake huyo
akaunti ya Instagram tangu akiwa tumboni.
“Ulimwengu wa mitandao sasa hivi, ulimwengu unakua na unavyomkuza mwanao
lazima umtengeneze mapema, umtengenezee mazingira ya kuwa brand mapema
hususan sisi watu maarufu. Na namshukuru Mwenyezi Mungu tangu siku
aliyozaliwa hadi sasa hivi siku zinavyozidi kwenda anazidi kuingiza
[pesa]. Ni mtu anayeingiza hela japokuwa hajaanza kuwa na ufahamu wake,”
Diamond aliiambia BBC.
TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues.
Journalists who produce the best stories published or broadcasted in
media that reach African audiences, will win a major international
reporting trip.
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues. Journalists who produce the best stories
published or broadcasted in media that reach African audiences, will win
a major international reporting trip.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
UDAKU
on Tuesday, 22 September 2015
Post a Comment