Owami na olwethu Mzazi,mapacha wenye umri wa miaka 26 ,kutoka Vosloorus ,Afrika Kusini, hivi karibuni wamefunga ndoa na mwanaume mmoja aliyejulikana kwa jina la Mzukiseni Mzazi mwenye miaka 51.
Walipoulizwa na jarida moja nchini Afrika Kusini ,kwanini wameamua kuolewa na mwanaume mmoja,mapacha hao walisema wamekuwa wakishare kila kitu tangu walipokuwa na umri mdogo.
“ Siku zote tumekuwa tukifanya kila kitu pamoja. Tuna share kila kitu. Hivyo ndivyo bibi yetu alivyo tulea. So tulipo fikiri kuhusu kuolewa, tuliweka dhamira kuwa, mwanaume yoyote atakaye taka kumuoa mmoja wetu,lazima atuoe wote wawili. Owami ali lieleza jarida la Drum,la nchini Afrika Kusini.
CHANZO : MITANDAO MBALIMBALI YA HABARI
TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues.
Journalists who produce the best stories published or broadcasted in
media that reach African audiences, will win a major international
reporting trip.
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues. Journalists who produce the best stories
published or broadcasted in media that reach African audiences, will win
a major international reporting trip.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
UDAKU
on Monday, 21 September 2015
Post a Comment