Featured

Loading...


Hii ndio heshima aliyopewa Mbwana Samatta na serikali ya Zanzibar …

Bado furaha ya watanzania na serikali kwa ujumla juu ya ushindi wa kihistoria wa mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga katika klabu ya TP Mazembe inazidi kushika kasi, tumeona mapokezi ya Samatta aliyoyapata Dar Es Salaam, baada ya kushinda tuzo ya mchezaji bora wa Afrika kwa wachezaji wa Ligi za ndani.
January 13 siku ya fainali ya michuano ya Kombe la Mapinduzi, michuano ambayo inaandaliwa na serikali ya Zanzibar kwa kushirikiana na ZFA, Mbwana Samatta atapewa nafasi ya kuonesha tuzo yake mbele ya wazanzibar, ambao bado wao hawakupata fursa ya kuiona tuzo hiyo toka ashinde.
501184166-2
Samatta pia atapata nafasi ya kuutazama mchezo wa fainali kati ya Mtibwa Sugar dhidi ya URA ya Uganda katika dimba la Amaan, ambapo mgeni rasmi wa michuano hiyo anatarajiwa kuwa Rais wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein. Hii itakuwa ni heshima na fursa kubwa kwa Samatta ambaye ataonesha tuzo yake na kupongezwa na wazanzibar wote ikiwemo Rais Shein.

TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK

During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright JICHO LETU
Back To Top