Featured

Loading...


MANAIKI AWACHEZESHA MASTAA MAARUFU MOVIE YA ‘WAKE UP’

Manaiki akiwa na wasanii wenzake, Mama Sonia (katikati) na  Taiya.
Mandhari ilivyokuwa meza kuu.
Msanii Taiya akiwa kwenye pozi.
PRODYUZA  maarufu Bongo, Manaiki Sanga, hivi karibuni aliitambuLisha filamu yake mpya ya ‘Wake Up’ ambayo amewachezesha karibu mastaa wote marufu Bongo.
Akiongea na waandishi wa Habari kwenye Hoteli ya Atriums jijini Dar es Salaam, Manaiki alisema filamu hiyo ina ubora wa hali ya juu na imekuja kufunika filamu zote za Bongo ambazo zimewahi kuchezwa.
Aliongeza kuwa filamu hiyo imesimamiwa na muongozaji maarufu mwenye ujuzi wa juu ambaye amebobea kwenye kazi ya uongozaji wa filamu, Leah Richard Mwendamseke ‘Lamata’.“Yaani nimewachezesha wasanii wengi akiwemo Taiya Odero, King Majuto, Wolper, Gabo, Kajala, Hemedi, Mlela na wengine kibao,” alisema.
Mhusika mkuu katika filamu hiyo ni msanii mchanga, Taiya Odero,  lakini amefanikiwa kwa kiasi cha juu kuitendea haki nafasi aliyopewa kucheza.Akiongea machache Taiya alisema anamshukuru prodyuza wake, Manaiki,  kwa kumpa nafasi hiyo kwani imempa heshima kubwa na kujiamini.

TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK

During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright JICHO LETU
Back To Top