Mkurugenzi Mtendaji wa Duka la F-Zone (T) Ltd, Mtitu Game akiwa na mteja kwenye duka hilo lililopo mtaa wa Kariakoo na Msimbazi jijini Dar.
Wafanyakazi wa Duka la Mtitu Game wakishikilia madumu yenye oil ya NEXTOIL.
Mkurugenzi Mtendaji wa Duka la F-ZONE(T) Ltd, Mtitu Game akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wake.
...wakifurahia jambo.
Taswira ya nje ya duka hilo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Duka la F-ZONE(T) Ltd, Mtitu Game akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wake.
...wakifurahia jambo.
Taswira ya nje ya duka hilo.
AINA mpya oil ya magari na mitambo ya NEXTOIL imeanza kuuzwa rasmi jana katika Duka la F-ZONE (T) Limited lililopo mtaa wa Kariakoo na Msimbazi jijini Dar es Salaam.
Akizungumza na wanahabari kwenye uzinduzi wa oil hiyo, mkurugenzi mtendaji wa duka hilo, Mtitu Game, alisema wameamua kuingiza oil hiyo mpya kutokana na magari mengi kuwa ya kisasa hivyo wamelazimika kuingiza bidhaa hiyo mpya inayoendana na kiwango cha magari hayo.
Amesema kuwa magari mengi huharibika kutokana na kutumia oil isiyostahili hivyo kusababisha uharibifu kwenye injini nyingi za gari.
“Tumeamua kuwaletea oil mpya inayoendana na viwango vya magari, hasa ukilinganisha magari mengi ya kisasa huhitaji oil iliyo na kiwango cha kisasa. Oil zetu zimetoka Ulaya, Marekani, pamoja na nchi za Kiarabu,” alisema Mtitu.
Post a Comment