Featured

Loading...


ACT Wazalendo na TWAWEZA, CCM na Uchaguzi, Msukuma na Lowassa? Nyuki kwenye Mkutano? (Audio)


Kama kawaida asubuhi lazima ianze na uchambuzi wa magazeti @CloudsFM na kama kawaida mtu wako wa nguvu nimefanya jitihada ya kukusogezea zile zote kubwa za leo.
Hofu Lowassa kuporomoka, CCM imeahidi ushindi wa TSUNAMI, utafiti TWAWEZA makusanyo, UKAWA yatikisa Lindi, Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Geita Joseph Msukuma matatani kwa kumshambulia Edward Lowassa.
Lowassa na Magufuli waikwepa Mwanza waiweka ya mwisho kwenye ratiba zao, Magufuli amewaomba wananchi wa Geita wamuombe ili aje kupambana na wamiliki wa wawekezaji wa migodi mikubwa, Lowassa asema hata kata tamaa licha ya baadhi ya watu kufanya hivyo, ACT Wazalendo wauchambua utafiti wa TWAWEZA huku wakisema wamefurahishwa na majibu ya utafiti huo.
Chama cha CCM kimetoa sababu kuu 5 zitakazomuwezesha mgombea wao wa Urais Dk. John Magufuli kushinda uchaguzi mkuu, Marekani yamwagia sifa Rais Jakaya Kikwete, Tanzania ni moja kati ya nchi 3 za Africa zitakazofaidika na uwekezaji mkubwa wa uzalishaji ya umeme kutoka Marekani.
Mwenyekiti wa CCM mkoani Geita, Joseph Msukuma aingia matatani baada ya kumsema vibaya Mgombea Urais kupitia CHADEMA Edward Lowassa, Camera za kisasa aina ya ‘Drone’ zinazotumika kwenye kampeni za mgombea Urais CCM Dk. John Magufuli zawatia uoga wananchi wa Geita wakidhania ni nyuki waliovamia eneo la kampeni la mgombea huyo.
Hapa chini nimekuwekea sauti ya uchambuzi wote wa magazeti kwenye #PowerBreakfast, bonyeza play kusikiliza.

TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK

During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright JICHO LETU
Back To Top