Stori: Richard Bukos aliyekuwa Kagera
UNAZI! Kundi kubwa la vijana wa kike na kiume,
mwanzoni mwa wiki iliyopita walizua kizaazaa baada ya kumgombea kumuona
kwa karibu na kutaka kuzungumza na mkali wa muziki wa Kizazi Kipya,
Nasibu Abdul ‘Diamond Platinumz’ mara baada ya kumaliza kutumbuiza
katika mkutano wa kampeni wa Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),
Dk. John Magufuli uliofanyika katika Viwanja vya Gymkhana mjini Bukoba.
Umati huo ukigombea kumuona Diamond.
Baada ya kumaliza ngwe yake ya kuburudisha, msanii huyo aliteremka
jukwaani na kwenda alikopangiwa kukaa, lakini alifuatwa na dada mmoja
aliyetaka kuzungumza naye, huku vijana wengine wakisogea eneo hilo, kitu
ambacho mabaunsa walikikataa na kumfanya msanii huyo kukimbilia katika
basi dogo aina ya Coaster lililokuwa limetayarishwa kwa ajili yake na
wacheza shoo wake.
Hata hivyo, wakati mkutano huo ukiendelea, umati zaidi wa vijana
uliendelea kulifuata basi hilo na kujazana katika dirisha alilokaa
Diamond, jambo lililowapa wakati mgumu mabaunsa kuwasogeza, hadi polisi
walipofika na kufanikiwa kuwatawanya, huku gari hilo likiondolewa eneo
hilo.
Akitumbuiza kwenye mkutano wa kampeni.
Hata hivyo, baada ya basi hilo kupata upenyo wa kumkimbiza
mwanamuziki huyo, kundi kubwa la vijana wa kike na kiume walilifukuza
gari hilo mpaka dereva alipoongeza kasi.
Kabla ya mkutano huo mkoani hapa, Magufuli alianza kunadi sera zake
katika Vijiji vya Kaziramuyagwa, Kyamyorwa, Kasharunga, Rulanda na
kufanya mkutano mkubwa katika Uwanja wa Zimbihile uliopo Muleba Kusini
jimbo analogombea Prof. Anna Tibaijuka.

Baada
ya hapo kampeni zilihamia Muleba Kaskazini ambapo Magufuli alimwaga
sera katika maeneo ya viwanja vya wazi vya Kamachumu, Maruku na Jimbo la
Bukoba vijijini kabla ya kufanya mkutano wa kihistoria katika viwanja
vya Bukoba mjini.
TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues.
Journalists who produce the best stories published or broadcasted in
media that reach African audiences, will win a major international
reporting trip.
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues. Journalists who produce the best stories
published or broadcasted in media that reach African audiences, will win
a major international reporting trip.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
SIASA
on Thursday, 24 September 2015
Post a Comment