BARAZA
Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) limetangaza kuwa mgeni rasmi katika
maadhimisho ya sherehe za Idd El Hajj leo yanayofanyika kitaifa mkoani
Mara ni Makamu wa Rais, Dk Mohammed Gharib Bilal.
Bakwata
ilieleza jana kuwa sherehe hizo zitafanyika katika mji wa Musoma na Idd
itaswaliwa kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Mkendo, saa mbili asubuhi
na Baraza la Idd saa nane mchana.
Sikukuu
ya Idd el Hajj au Idd el-Adha inaadhimishwa baada ya kukamilika kwa
ibada ya Hija, moja ya nguzo tano za dini ya Kiislamu ambapo kwa sasa
mahujaji wako katika ibada hiyo nchini Saudi Arabia.
Mjini
Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali
Mohamed Shein anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Baraza la Idd,
litakalofanyika Mkokotoni mkoa wa Kaskazini Unguja.
Kwa
mujibu wa taarifa iliyotolewa na Waziri wa Katiba na Sheria wa
Zanzibar, Abubakar Khamis Bakary, swala ya Idd inatazamiwa kufanyika
kitaifa katika Msikiti wa Mkokotoni na Baraza la Idd kufanyika katika
Chuo cha Amali, Mkokotoni Unguja.
“Maandalizi
ya swala ya Eid na Baraza la Eid yamekamilika ambapo kitaifa utafanyika
katika Mkoa wa Kaskazini Unguja, Mkokotoni,” alisema Bakary.
TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues.
Journalists who produce the best stories published or broadcasted in
media that reach African audiences, will win a major international
reporting trip.
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues. Journalists who produce the best stories
published or broadcasted in media that reach African audiences, will win
a major international reporting trip.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
HABARI
on Wednesday, 23 September 2015
Post a Comment