Featured

Loading...


Chama cha ACT Wazalendo wamejibu kwenye sentensi tisa kuhusu Utafiti wa TWAWEZA… (Audio)

Siku chache baada ya Taasisi ya TWAWEZA kutoa Ripoti ya Utafiti waliofanya kuelekea Uchaguzi Mkuu Tanzania, October 25 2015… Viongozi wa Vyama mbalimbali wametoa misimamo yao kuhusu Utafiti huo.
Jana September 23 2015 January Makamba alitoa Taarifa kuhusu msimamo wa CCM kwenye Utafiti huo, ninakusogezea na hii pia mtu wangu, Taarifa kutoka Makao Makuu ya ACT- Wazalendo Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Kamati ya Kampeni wa Chama cha ACT-Wazalendo, Nickson Tugala alitoa taarifa hiyo >>> Chama cha ACT kimeyapokea na kuyapitia Matokeo ya utafiti uliofanywa na TWAWEZA… Utafiti unaonesha Ilani ya ACT imezingatia mahitaji ya Watanzania“>>>
ACT tunafarijika kwamba Chama chetu ni Chama pekee nje ya CCM na UKAWA kilichotajwa na Wapigakura zaidi ya Asilimia moja, kimekuwa chama cha nne katika kukubalika kwa Wapigakura nyuma ya CCM CHADEMA na CUF” >>> Nickson Tugala.
Screen Shot 2015-09-24 at 12.04.43 PM
Nickson Tugala 
Takwimu hizo zilikusanywa wakati ambao ACT-Wazalendo hakijamtangaza Mgombea wake wa Urais wala tulikuwa hatujafanya Uzinduzi wa Kampeni… Kama Utafiti huu ukirudiwa tunaamini tutafanya vizuri zaidi” >>> Nickson Tugala.
Screen Shot 2015-09-24 at 12.04.54 PM
Sauti yenye Taarifa yote hii hapa mtu wangu, Ripoti kutoka Makao Makuu ya ACT- Wazalendo Dar es Salaam.

TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK

During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright JICHO LETU
Back To Top