Hekaheka ya leo inahusu tukio la mama mmoja maeneo ya Tabata, Dar es
salaam kupigwa risasi na vijana wawili wakati akitaka kulipia fremu ya
duka maeneo ya karibu na nyumbani kwake.
Anasema wiki iliyopita baada ya kukubaliana na wahusika wa fremu hiyo
kwenda kulipia kuna vijana wawili walimfuata na kumtaka awape pochi
ambayo ndani kulikuwa na pesa za kulipia fremu pamoja na pesa zake
nyingine.
Anasema alikubaliana na msichana aitwaye ana ili kwenda kulipia fremu
hiyo na alipofika baada ya mazungumzo…yule msichana akaenda kuchukua
funguo ili kuangalia ndani ya fremu hiyo.
Anasema baada ya dakika3 wakaja vijana wawili wakamunyooshea
silaha…wakazozana kwa muda mrefu kisha wakamnyang’anya pochi yake..kabla
hawajaondoka wakampiga risasi ya kifuani.
Anasema kilichomshangaza yule msichana aliyemsisitiza aje na pesa
hakumuona tena baada ya tukio hilo…na alipiga kelele za kuomba msaada
lakini hakuna mtu aliyemsaidia..baada ya kuona hivyo akawasha gari lake
na kwenda nyumbani..alipofika majirani wakampeleka Muhimbili kwa ajili
ya kupatiwa matibabu.
Msikilize hapa mwenyewe akimwelezea Geah Habib…
TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues.
Journalists who produce the best stories published or broadcasted in
media that reach African audiences, will win a major international
reporting trip.
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues. Journalists who produce the best stories
published or broadcasted in media that reach African audiences, will win
a major international reporting trip.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
HABARI
on Thursday, 24 September 2015
Post a Comment