Featured

Loading...


Chidi Benz yupo upande gani wa chama? majibu yake ni haya..vipi ngoma yake mpya?.. #Uheard

Wakati uchaguzi mkuu unaelekea kufanyika Oktoba 25 wasanii wamekuwa na mapenzi tofauti kuhusu mgombea Urais. wengine wamekuwa wakizozana kuhusu mgombea wa nafasi hiyo akiwemo Diamond na Nay, Wolper na Aunt Ezekiel.
Chid Benz amezungumza na kusema kwa sasa yeye hana Chama yupo katikati..yupo upande wowote kwa kuwa anahitaji maendeleo
Amekaa na kufikiria na kuamua kuachia ngoma ambayo itatoka hivi karibuni kuhusu mambo ya uchaguzi ambayo itakua katikati, itaelezea mambo ya uchaguzi ambapo itazungumzia pande zote mbili na hajaegemea sehemu yoyote.
Msikilize majibu yake baada ya kuhojiwa na Soudy Brown…

TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK

During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright JICHO LETU
Back To Top