Kama ilivyo kawaida ya Hehaheka imekuwa
ikituweka karibu na matukio ambayo yanatokea kwenye maisha ya watu ya
kila siku, leo inahusu tukio la mama na mtoto wake kukutwa ndani wakiwa
wamefariki maeneo ya Mburahati, Dar es Salaam.
Baba amesimulia na kusema tukio hilo
limemsikitisha sana kwa kuwa hakutegemea kumpoteza mke wake na mtoto wao
kwa wakati mmoja lakini anaamini ni mipango ya Mungu.
Baba huyo amesimulia kwamba siku moja
asubuhi mke wake alianza kulalamika anaumwa tumbo na alianza kuharisha,
yeye ikabidi aende Duka la Dawa kumnunulia dawa… wakati huohuo mtoto wao
pia alikuwa anaharisha, wote wawili wakatumia dawa za Malaria.
Baada ya muda kidogo mama na mtoto wake
walifariki, Hospitali manesi wamesema kwamba wagonjwa wote wawili
walikuwa na Ugonjwa wa Kipindupindu.
Stori yote kwenye Hekaheka nimeirekodi na kukuwekea hapa, Baba aliyepatwa msiba amesimulia kila kitu.
TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues.
Journalists who produce the best stories published or broadcasted in
media that reach African audiences, will win a major international
reporting trip.
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues. Journalists who produce the best stories
published or broadcasted in media that reach African audiences, will win
a major international reporting trip.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
HABARI
on Monday, 21 September 2015
Post a Comment