Featured

Loading...


Nay wa mitego azifungukia taarifa za kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Pam D

Msanii Nay wa mitego amefunguka juu ya taarifa zilizoenea kwenye mitandao ya kijamii kwamba ana mahusiano ya kimapenzi na Msanii wa Bongo Flava mwenye figure matata Pam Dafa, na kusema wao ni marafiki tu.

"Mi na Pam D ni washkaji, na siwezi nikasema tuna mahusiano ya hivyo japokuwa watu wanahisi kama tuna mahusiano ya hivyo, Pam D ni mshkaji wangu alafu mshakji wangu long time kabla hajawa serious na maswala ya muziki, ndio maana tupo karibu hivyo", alisema Nay alipokuwa akiongea kwenye kipindi cha Planet Bongo kinachorushwa na East Africa Radio.

Nay wa mitego aliendelea kufunguka na kusema kwamba situation ambazo zipo kwa vijana zingine zinatokeaga tu kama bahati mbaya.

"Unajua ngoja nikwambie tu sometimes tunabakia kuongea tu situationa au hali ambayo ipo kwa vijana ambao tunaishi leo, kuna vingine vinatokeaga tu kama bahati mbaya na huwa vinatokeaga kwamba bwana ehee hatuwezi kuwa permanent, huwa zinatokeaga, mi Pam D mshkaji wangu tu", alisema True boy Nay wa mitego.

Team ya Planet bongo haikuishia hapo, iliamua kumtafuta Pam D na kupata upande wa pili wa maelezo nae akajibu haya " sio kila kitu mpaka ukiweke wazi, inawezekana ni kweli lakini huwezi jua kama je itafikia hatua hiyo, watu wanaogopa labda unajua ukiweka vitu nje mwisho wa siku mambo yanakuja kuharibika", alisema Pam D.

TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK

During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright JICHO LETU
Back To Top