Featured

Loading...


Taarifa kutoka jesho la polisi kuhusu tathmini ya Uchaguzi 2015…


Tukiwa bado kwenye headlines za uchaguzi 2015 tunaungana na jeshi la polisi kutupata tathmini ya matukio yalitokea kwenye kipindi hiki cha Uchaguzi.

Akiongea na waandishi wa habari, msemaji wa jeshi la polisi, Advera Bulimba..’Katika kipindi hiki knachoendelea cha kampeni hali ya usalama inaonekana ni shwari hakuna matukio makubwa ambayo yaliyoripotiwa yakushtua tunawashukuru wananchi lakini pia viongozi wa vyama vya siasa na wafuasi wao ambao wamekuwa wakitii sheria za nchi’ – Advera Bulimba

‘Hata hivyo pamoja na ushwari huo bado kumejitokeza baadhi ya watu wachache kufanya vitendo vya uhalifu vyenye mweleko wa kuvunja amani ambayo hata hivyo wameweza kuthibitiwa na jeshi la polisi jumla ya matukio 107 yameripotiwa katika vituo vya polisi kati ya matukio hayo matukio 38 tayari yamefunguliwa kesi na kufikishwa mahakamani’ – Advera Bulimba

‘Hayo matukio 38 ambayo yafunguliwa kesi na kufikishwa mahakamani yana jumla ya watuhumiwa 52 ambao tayari tumewafikisha mahakamani ili sheria iweze kuchukua mkondo wake, aidha matukio mengine yaliyobaki 68 bado yapo chini ya upelelezi wa jeshi la polisi, katika matukio hayo ambayo tumeyafikisha mahakamani wengi wanatuhumiwa kuvunja kufanya makosa yafuatayo ikiwemo wafuasi wa chama kimoja kuvamia ama kuzomea wafuasi wa chama kingine hususani wanapokuwa katika kampeni za uchaguzi maeneo mbalimbali ya mikoani‘ – Advera Bulimba

Unaweza uka bonyeza play kumsikiliza Msemaji wa jeshi la polisi

TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK

During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright JICHO LETU
Back To Top