Katika
hali ambayo haikutarajiwa, Mwenyekiti wa TLP taifa, Augustino Mrema
jana alimnadi mgombea urais wa CCM, Dk John Magufuli kuwa ndiye anafaa
kuwa rais wakati chama chake kikiwa kimemsimamisha, Macmillian Lyimo
kuwania nafasi hiyo ya urais kwa tiketi ya TLP.
Hali
hiyo ilianza kwa Dk Magufuli kumpigia debe Mrema anayewania ubunge
Jimbo la Vunjo kwa tiketi ya TLP kwa kusema kuwa ana historia nzuri na
uzoefu katika uongozi kuliko wengine.
Dk.
Magufuli alisema hayo hiyo juzi wakati akihutubia wananchi katika
Uwanja wa Polisi Himo ambapo alisema wananchi wasikosee kwenye kupiga
kura na kuwa hata kama hawaitaki CCM, basi wampigie kura Mrema.
“Kama humtaki mgombea wa CCM wa jimbo hilo, Innocent Shirima angalau mniletee Mrema,” alisema Dk Magufuli na kuongeza hata msahau Mrema bali atamtafutia kazi nyingine.
Dk
Magufuli aliongeza kuwa kama wananchi wa Vunjo hawatamchagua Shirima au
Mrema watapata shida kwani aliwaita wagombea wengine kuwa ni
wababaishaji.
Akiomba
kura kwa wananchi katika mkutano huo, Shirima mwenyewe alisema endapo
atachaguliwa atahakikisha kero ya barabara za Kilema, Mua, Himo,
Saidingi, Kahe na Chekereni zinatengenezwa.
TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues.
Journalists who produce the best stories published or broadcasted in
media that reach African audiences, will win a major international
reporting trip.
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues. Journalists who produce the best stories
published or broadcasted in media that reach African audiences, will win
a major international reporting trip.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Post a Comment