Featured

Loading...


Man United yapokonywa point mbili dakika 90 ya mchezo, cheki pichaz na video …

Mechi za Ligi Kuu Uingereza zimeendelea usiku wa January 12, kwa klabu vya Machester United kuwa mgeni wa Newcastle United katika dimba la St James’ Park, wakati Bournemouth walikuwa wenyeji wa West Ham United na Aston Villa wenyeji wa Crystal Palace.
301A3E8400000578-3396245-image-a-5_1452636672481
Mchezo wa Man United ndio mchezo ambao ulikuwa unapewa nafasi kubwa ya kutazamwa na watu wengi zaidi, kwani timu hiyo ina wapenzi wengi na kocha wake Louis van Gaal amekuwa kwenye headlines za kuhusishwa kufukuzwa kila siku kutokana uongozi kudaiwa kutoridhishwa na kiwango cha timu yake.
301A3A5F00000578-3396245-image-a-96_1452634838972
Mchezo huo ulimalizika kwa Newcastle United kutoka sare ya goli 3-3 na Man United katika uwanja wake wa nyumbani, hayo yalikuwa matokeo ambayo yaliwashangaza wengi, hususani mashabiki wa Man United, kwani hadi dakika ya 89 walikuwa mbele kwa goli 3-2, hivyo goli la dakika ya 90 la Paul Dummett lilivunja nguvu na kuishangaza Man United.
3444
Magoli ya Man United yalifungwa na Wayne Rooney kwa mkaju wa penati dakika ya 9, na dakika ya 79 akafunga goli la tatu, baada ya Jesse Lingard kupachika goli la pili kwa Man United dakika ya 38. Magoli ya kusawazisha ya Newcastle United yalifungwa na Georginio Wijnaldum dakika ya 42, Aleksandar Mitrovic dakika ya 67 na Paul Dummett dakika ya 90, nakufanya Man United iliyokuwa na matumaini ya kuvuna point zote tatu hadi dakika ya 89, kuambulia point moja pekee.
Video ya magoli ya Newcastle United Vs Man United

TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK

During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright JICHO LETU
Back To Top