Askari
wa Bunge wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Viti
Maalumu Mkoa wa Mara, Leticia Nyerere aliyefariki nchini Marekani
alikokuwa akitibiwa mara baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa
wa Julius Nyerere Dar es Salaam jana jioni.
Mwili
huo leo utaagwa nyumbani kwa Mwalimu Nyerere Msasani kabla ya
kusafirishwa kwenda Butihama mkoani Mara kwa mazishi yatakayofanyika
kesho
Mwili huo ukiingizwa kwenye gari maalumu katika uwanja huo.
Ndugu jamaa na marafiki wakijadiliana jambo wakati wa kuupokea mwili huo.
Ndugu, jamaa, marafiki na watoto wa marehemu wakisubiri kuupokea mwili wa mpendwa wao.
Mume wa marehemu, Madaraka Nyerere akizungumza na wanahabari baada ya kuupokea mwili huo uwanjani hapo.
Mtoto wa marehemu (kulia), akifarijiwa na mmoja wa ndugu wakati wakienda kupanda gari kabla ya kuondoka uwanjani hapo.
Picha na Dotto Mwaibale
TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues.
Journalists who produce the best stories published or broadcasted in
media that reach African audiences, will win a major international
reporting trip.
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues. Journalists who produce the best stories
published or broadcasted in media that reach African audiences, will win
a major international reporting trip.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
TANZIA
on Tuesday, 19 January 2016
Post a Comment