MHARIRI
wa gazeti la Mawio, Simon Mkina na Mhariri wa gazeti la MwanaHALISI
ambaye pia ni mwandishi Mwandamizi wa gazeti la Mawio, Jabir Idrissa
jana wameachia kwa dhamana na Jeshi la Polisi, baada ya kutimiza
masharti ya dhamana hiyo.
Wahariri
hao walijisalimisha juzi majira ya saa tisa jioni baada ya kupokea
taarifa ya kutafutwa na jeshi la polisi kwa siku tatu na kuhojiwa kwa
masaa nane, lakini walipomaliza majira ya saa tano usiku walinyimwa
dhamana na polisi kwa madai jana asubuhi wangepelekwa mahakamani.
Jeshi
la polisi walishindwa kuwapeleka mahakamani wahariri hao, lakini
walifungua dhamana kwa masharti ya kila mtuhumiwa kuwekewa dhamana ya
Sh. 20 milioni, huku akitakiwa kudhaminiwa na wadhamini wawili.
Mkina na Jabir wametimiza masharti hayo kwa kudhaminiwa na wadhamini wawili kwa kila mmoja huku kila mdhamini akisaidi bondi ya Sh. 10 milioni.
Wahariri hao wametakiwa kuripoti kituoni hapo kila siku saa mbili asubuhi mpaka hapo watakapopewa utaratibu mwingine.
TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues.
Journalists who produce the best stories published or broadcasted in
media that reach African audiences, will win a major international
reporting trip.
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues. Journalists who produce the best stories
published or broadcasted in media that reach African audiences, will win
a major international reporting trip.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
HABARI
on Tuesday, 19 January 2016
Post a Comment