Featured

Loading...


Zitto Kabwe na Saed Kubenea Kukutana Uso Kwa Uso Kamati Ya Huduma za Maendeleo ya Jamii

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai ametangaza kamati za Bunge na majina ya wabunge waliochaguliwa katika kamati hizo kwa mujibu wa sheria.

Sura za wabunge wa zamani zimechanganyika na sura mpya katika kamati hizo ambapo Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe (ACT) na Mbunge wa Ubungo Saed Kubenea (CHADEMA) ni miongoni mwa wanaounda kamati ya huduma za maendeleo ya jamii.

Mbunge wa Nyamagana Stanslaus Mabula (CCM), Naghejwa Kaboyoka Same mashariki (CHADEMA)Livingstone Lusinde Mtera (CCM) wameteuliwa kujumuika katika kamati ya Hesabu za serikali PAC.

Kamati nyingine ni pamoja na Kamati ya Uongozozi ikiwa na Spika Job Ndugai ambaye ni Mbunge wa Kongwa (CCM), Freeman Mbowe Hai (CHADEMA) George Masaju ambaye ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali na wengineo.

Kamati ya sheria ndogo waliopata nafasi ni pamoja na Halima Mdee Kawe (CHADEMA),Abdalah Mtolea Temeke (CUF) ,Tundu Lissu Singida Mashariki (CHADEMA),Ridhiwani Kikwete Chalinze (CCM).

Baadhi ya wanaounda kamati ya Serikali za mitaa ni pamoja na Kangi Lugola Mwibara (CCM) Leah Komanya Viti maalum (CCM) Saada Mkuya Welezo (CCM) na wengineo.

Aidha Spika wa Bunge amesema kuwa kamati hizo zimeundwa kwa kuzingatia uzoefu wa wabunge hao,taaluma zao na jinsi walivyojaza fomu za kuomba kamati hii

Soma zaidi hapa chini kuona majina ya kamati zote

MCHANGANUO WA WABUNGE KATIKA KAMATI MPYA ZA BUNGE LA KUMI NA MOJA (11).PDF

TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK

During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright JICHO LETU
Back To Top