Featured

Loading...


JB Ampongeza Nisha kwa Jambo Hili, Nifunzo kwa Mastaa Wengine

Kutoka Mtandaoni: Staa mkongwe wa Bongo Movies, Jacob Stephen ‘JB’ amempongeza staa mwenzake Salma Jabu ‘Nisha’ kwa jitihada zake za kuzitangaza kazi zake zaidi kupitia ukursa wake kwenye mtandao picha wa Instagram ambapo hadi leo anawatu zaidi ya laki moja na nusu wanao mfuatilia.

Napenda kuongea kutokana moyoni kwamba navutiwa na jinsi dada huyu anavyo jitahidi.hongera.kila nikipitia acc yako mara nyingi unaongelea juu ya kazi zako.hongera. endelea kupambana,”JB aliandika hayo mara baada ya kuweka picha hiyo hapo juu akiwa na Nisha.
Hakika Nisha anastahili pongezi kwa matumizi hayo mazuri ya mtandao picha wa Instagram, mastaa wengine wajifunze kutoka kwake.
Mzee wa Ubuyu

TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK

During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright JICHO LETU
Back To Top