Featured

Loading...


LINAH AMWANIKA MWANAUME WAKE

BAADA ya minong’ono ya muda mrefu, hatimaye staa wa Bongo Fleva, Estelina Sanga ‘Linah’ ameweka wazi kuwa anatoka kimapenzi na Nagari Kombo.
Estelina Sanga ‘Linah’ katika pozi la kimahaba na mpenzi wake Nagari Kombo.
Akiteta na kona hii, wikiendi iliyopita jijini Dar es Salaam, Linah alisema: “Ni kweli kwa sasa natoka na Kombo, ndiye mwanaume wangu, sina haja ya kuficha. Mimi na Amini imebaki stori tu, hata yeye ana mtu wake.”
Staa wa Bongo Fleva, Estelina Sanga ‘Linah’
Kombo alijipatia umaarufu siku za nyuma baada ya kuingia uwanjani na kumkumbatia mchezaji Ricardo Kaka wa Timu ya Taifa ya Brazil iliyokuwa ikichuana na Taifa Stars katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Linah akipozi na Kombo.
Nagari Kombo alipotembelea ofisi za Global Publishers mwaka 2010.
Nagari Kombo akimkumbatia Ricardo Kaka wa Timu ya Taifa ya Brazil mwezi Juni, 2010 kwenye Uwanja wa Taifa wakati wa mechi ya kirafiki kati ya Tanzania na Brazil.
Nagari Kombo akishangilia baada ya kumkumbatia Ricardo Kaka, ingawa alikamatwa na Polisi.

TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK

During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright JICHO LETU
Back To Top