Featured

Loading...


MAALIM SEIF ATEMBELEA OFISI ZA AZAM TV

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Seif Sharif Hamad akiwasili katika Ofisi za Azam TV leo asubuhi.
Wafanyakazi wa Azam Tv wakimsikiliza kwa makini makamu wa rais.
Seif Hamad akizungumza jambo katika ofisi hizo na wafanyakazi wa Azam TV (hawapo pichani).
Mkurugenzi wa Azam TV, Tido Mhando akielezea huduma mbalimbali zitolewazo na televisheni hiyo.
Ofisa Mwandamizi wa Azam Tv (kushoto) akimkabidhi Makamu wa Kwanza wa Zanzibar, Seif Sharif Hamad katika makao makuu ya ofisi hizo zilizoko Tabata Dar.
Wafanyakazi wa Azam TV baada ya mazungumzo wakipata picha ya pamoja na Hamad.
MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Seif Sharif Hamad, leo asubuhi ametembelea Kituo cha Televisheni cha Azam TV cha jijini Dar es Salaam.
Akizungumza katika ofisi hizo baada ya kujionea shughuli zinazofanywa na kituo hicho, aliupongeza uongozi mzima wa Azam TV na hasa mkurugenzi wa kituo hicho, Tido Mhando, kwa uzoefu alionao akiamini televisheni hiyo itakuwa bora Afrika na dunia nzima.
(STORI/PICHA NA DENIS MTIMA / GPL)

TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK

During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright JICHO LETU
Back To Top