Featured

Loading...


TAYLOR AJIVUNIA KUMSHAURI SELENA GOMEZ

Staa wa muziki wa Pop, Taylor Alison Swift.
NEW YORK, Marekani
STAA wa muziki wa Pop, Taylor Alison Swift amejivunia kumshauri staa mwenzake wa muziki huo, Selena Gomez kujiweka mbali na Justin Bieber.
Taylor Swift akiwa na Selena Gomez.
Taylor alikuwa rafiki wa karibu na Selena na ugomvi wao ulianza Mei mwaka huu baada ya Bieber kumrudia Selena kabla hawajamwagana tena kwa mara nyingine.
“Selena na Taylor kwa sasa ni marafiki wa nguvu. Anajivunia kumshauri Selena na kufuata yale aliyokuwa akimsihi ya kujikita zaidi kwenye muziki ambapo kwa sasa yupo katika mipango ya kutoka na albamu yake inayoelezea mpasuko wa kimapenzi,” kilisema chanzo.

TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK

During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright JICHO LETU
Back To Top