Featured

Loading...


TYGA, KYLIE WANASWA KWENYE DUKA LA VITO

Tygal akiwa na mpenzi wake Kylie Jenner.
California, Marekani
KAPO inayokuja juu kwa sasa ya Kylie Jenner, 17, na Tygal, 25, wikiendi iliyopita walinaswa wakiwa kwenye duka la vito chanzo cha habari kilidai walikwenda kununua pete ya uchumba, wakali hao walinaswa huko Beverly Hills, Calfornia nchini Marekani.
Wapenzi hao wamekuwa wakijiachia pamoja mitaani mara kwa mara lakini kukutwa kwao katika duka hilo la vito kunaaminisha kuwa wanataka kupiga hatua zaidi katika uhusiano wao.
Licha ya kusemwa sana kuwa anatoka na mtoto mdogo, msanii huyo Hip hop, Tyga ameripotiwa kujiandaa kumfanyia bonge la sapraizi Kylie, Agosti 18, mwaka huu kwani mrembo huyo atakuwa ametimiza miaka 18. Chanzo kilisema Kylie anatamani kuchumbiwa na anapenda kuona anavalishwa pete.

TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK

During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright JICHO LETU
Back To Top