Featured

Loading...


UBOMOAJI WA GHOROFA ‘BOVU’ DAR WAKWAMA

Ghorofa la Indira Gandhi jijini Dar es Salaam ambalo linadaiwa kujengwa chini ya kiwango na ambalo lilikuwa libomolewe leo.
GHOROFA ambalo lilikuwa libomolewe leo jijini Dar es Salaam kutokana na kudaiwa kuwa limejengwa chini ya kiwango bado limeendelea kuwepo, kuonyesha kwamba zoezi hilo limekwama.
Ghorofa hilo lililopo Mtaa wa Indira  Ghandi lilikuwa libomolewe leo kufuatia kauli ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said  Meck Sadick, kutokana na kujengwa kinyume cha taratibu na sheria za majengo.
Jengo hilo lilitarajiwa  kubomolewa na kampuni ya China ya CRJE.
STORI/PICHA NA DENIS MTIMA/GPL

TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK

During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright JICHO LETU
Back To Top