Featured

Loading...


BAGAMOYO HISTORICAL MARATHON LAFANA WILAYANI BAGAMOYO

Washiriki wa mbio wakiwa katika viwanja vya Shule ya Msingi Mbaruku ya Bagamoyo wakisubiri kupewa zawadi.
Mgeni rasmi katika tamasha hilo, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi,  Dk. Shukuru Kawambwa akiwa na baadhi ya washiriki wa michezo.
...Akiwa  na washindi waliopata zawadi.
..Mshindi wa kwanza katika mbio za km 21.1, Angeline Tsere (katikati) akipewa zawadi na Kawambwa kwa mgeni rasmi.
Kawambwa (katikati)  akipeana mkono na mshindi wa tatu baada ya kumvalisha medali .
TAMASHA la michezo la Bagamoyo Historical Marathon ambalo lilitayarishwa na kampuni ya Vision Investment ya Dar es Salaam na kufanyika leo asubuhi katika Shule ya Msingi ya Mbaruku, Bagamoyo-Pwani, limefikia tamati baada ya washindi wa mbio ndefy za kilomita 10 na 21.1 kupewa zawadi.
Mgeni rasmi katika tamasha hilo alikuwa Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawamba,  ambaye alitoa zawadi mbalimbali kwa washindi huku mshindi wa kwanza wa Km 21.1,  Angeline Tsere, kutoka Arusha akijinyakulia 500,000/= na medali ambapo wa mwisho katika mbio hizo akijipatia 50,000/= na medali.
Kaulimbiu ya tamasha hilo ilikuwa ‘Anza kukimbia, ujikinge na magonjwa yasiyoambukiza’ ambapo madhumuni ya tamasha hilo yakiwa ni kuhamasisha afya bora  dhidi ya ongezeko la matukio ya vifo vitokanavyo na magonjwa yasiyoambukizwa.
Stori: DENS MTIMA NA Richard Bukos GPL

TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK

During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright JICHO LETU
Back To Top