Ni
mwezi mmoja umebaki kufikia siku nyingine kubwa kwa Watanzania kupiga
kura kumchagua Rais wanaemtaka, Wabunge pamoja na Madiwani kwenye
Uchaguzi mkuu utakaofanyika October 25 2015.
Tayari mpaka sasa tumeona Mastaa
mbalimbali wa Tanzania ambao hawajaficha hisia zao ni nani wanamkubali
zaidi kwenye kumpa uongozi wa nchi na nafasi nyingine zinazogombaniwa.
Mwimbaji staa wa bongofleva Ali Kiba
ameungana na mastaa wengine kama Diamond Platnumz, Wema Sepetu, Steve
Nyerere, Aunty Ezekiel, Ray ‘Vicent Kigosi’ na wengine kuiunga mkono CCM
na mgombea wake Urais ambaye ni Dr. John Pombe Magufuli.
Pamoja na kwamba Ali Kiba ameonekana kwenye headlines za kampeni za
CCM, hakuwahi kuandika au kupost chochote kwenye kurasa zake kuhusu
kiongozi gani anaeona ni sahihi kwake ila sasa ndio amefanya maamuzi
hayo kwa mara ya kwanza.
Ali Kiba aliandika kwenye page yake ya Instagram >>> ‘
Chaguo langu sahihi MAGUFULI #hapakazitu #KingKiba‘ na kisha Kiba baadae akaweka picha nyingine ya Dr. Magufuli na kuandika ‘ MAGUFULI #hapakazitu #KingKiba‘
TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues.
Journalists who produce the best stories published or broadcasted in
media that reach African audiences, will win a major international
reporting trip.
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues. Journalists who produce the best stories
published or broadcasted in media that reach African audiences, will win
a major international reporting trip.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
SIASA
on Tuesday, 22 September 2015
Post a Comment