Edward
Lowassa, mgombea urais kupitia Chadema anaeungwa mkono na vyama vya
upinzani vinavyounda Ukawa, leo amelazimika kusimama na kuwahutubia
maelfu ya wakazi wa Muheza, Tanga waliojipanga barabarani.
Taarifa
kutoka Muheza zinaeleza kuwa walizuia msafara wa Lowassa kwa mbwembwe
huku wengine wakidaiwa kulala barabarani wakimtaka mgombea huyo
kuwahutubia kabla hajapita eneo hilo.
Lowassa
alikuwa akitokea Tanga Mjini ambapo jana alifanya mkutano wa kampeni
uliohudhuriwa na mafuriko ya watu waliouzidi uwanja wa Tangamano na
kumlazimu kuahirisha mkutano huo ili kunusuru maisha ya watu walioanza
kupoteza fahamu uwanjani hapo
Mgombea
huyo ameonekana kubebwa na jiji la Tanga na hivyo kuweka
alama ya kiulizo kama jiji hilo bado linasifa ya kuendelea kuitwa
ngome ya CCM.
Wakazi wa Korogwe wakimsikiliza Lowassa
TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues.
Journalists who produce the best stories published or broadcasted in
media that reach African audiences, will win a major international
reporting trip.
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues. Journalists who produce the best stories
published or broadcasted in media that reach African audiences, will win
a major international reporting trip.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
SIASA
on Tuesday, 29 September 2015
Post a Comment