Featured

Loading...


CHADEMA Wamtaka Mwandosya Ajiunge UKAWA


NAIBU Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Zanzibar, Salim Mwalim, amesema Profesa Mark Mwandosya, ajiunge na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) ili awe mshauri kuliko kuendelea kuwepo CCM.
 
Akizungumza jana kwenye mkutano wa hadhara aliofanya katika Jimbo la Rungwe Mashariki linaloongozwa na Mwandosya, alisema CCM imekosa mwelekeo hivyo msomi kama Mwandosya hatakiwi kuwa katika chama hicho.

Alisema japo mbunge huyo alisema hatagombea tena jimbo hilo la Rungwe Mashariki, kinachotakiwa ni kukihama chama hicho na kujiunga na Ukawa ili awe mshauri wa Umoja huo.

“Mwandosya ni msomi mkubwa sana hivyo kutokana na elimu yake aliyonayo, anatakiwa kutoka CCM na kujiunga na Ukawa ili awe mshauri wetu na sio kuendelea kubaki na CCM,” alisema Mwalim.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Mbeya, Joseph China, alisema wananchi wanatakiwa kujiandikisha ili kuweza kupata haki yao ya msingi ya kupiga kura.

China alisema njia pekee ya kuweza kuishinda CCM ni wananchi kujiandikisha kwa wingi na kuhudhuria siku ya kupiga kura.

Alisema katika kata hiyo ya Kandete kumekuwepo na tatizo la kutokuwepo kwa diwani hivyo michango imekuwa ikichangishwa kiholela na watendaji wa vijiji na kata bila kujua matumizi ya hizo fedha

TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK

During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright JICHO LETU
Back To Top