Featured

Loading...


Kortini kwa Kumpa Mwanafunzi Mimba


MKAZI wa Mpiji Magoe Hamis Mohameid (21), amefikishwa kizimbani jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni Dar es Salaam akikabiliwa na tuhuma za kumbaka mwanafunzi (14)Jina limehifadhiwa na kumpa mimba.
 
Akisomewa mashtaka mawili mbele ya Hakimu Flora Mtarania, Wakili wa Serikali Grace Lwila, alidai kuwa tukio hilo lilitokea  kati ya Aprili na Mei24 mwaka huu maeneo ya huko Mpiji Magoe.
 
Katika shtaka la kwanza Wakili alidai kwamba mtuhumiwa alimbaka msichana huyo kisha kumsababishia maumivu makali sehemu zake za siri.
 
Wakili Lwila alidai kuwa katika shtaka la pili katika tarehe isiyojulikana maeneo ya Mpiji Magoe mtuhumiwa alimpa ujauzito mwanafunzi huyo wa kidato cha pili anayesoma shule ya Sekondari Mpiji Magoe.
 
Mtuhumiwa alikana kutenda shtaka hilo na upelelezi wa shauri hilo bado unaendelea ambapo Hakimu Mtarania alisema kwamba shauri hilo linadhaminika.
 
“Unatakiwa ulete wadhamini wawili walioajiriwa kutoka serikalini au katika taasisi inayotambulika kisheria watakaoweka bondi ya maandishi ya Sh. Milioni 1,” alisema Mtarania.
 
Hata hivyo mtuhumiwa alirudishwa mahabusu kwa kushindwa kutimiza masharti hayo na kesi hiyo itakuja tena Juni 24, mwaka huu

TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK

During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright JICHO LETU
Back To Top