Featured

Loading...


Maneno Aliyoyasema Mwanamuziki Barnaba Baada ya Kukosa TUZO ya Mtunzi Bora wa Mwaka iliyoenda kwa ALI KIBA

Hatimae Aliyekuwa Akitegemewa Kupata Tuzo ya Mtunzi Bora wa Mwaka Kill Awards Mwanamuziki Barnaba Ametoa ya Moyoni Baada ya Kuikosa Tuzo Hiyo:

Barnaba - Nawashukuru watu wangu wote na mashabiki Zangu mlionipiga Kura naamini kila kilichotokea Kimestahiri Kutokana Mimi nampenda mungu na naamini kuna Kitu kinaitwa Wakati au muda na napenda Changamoto mana hii Itafanya Nifanye Vyema mara mbili ya pale ninapofanyaga Yes Of coz mimi sinaga Team Bali Team yangu ni wale wote wanaopenda Muziki Mzuri nawapenda wote na nawapa Ongera wenzangu wote mlioshinda Bila kusahau kipenzi Changu #bestfemaleperformer and #bestfemaleartist @Vanessamdee Kushinda kwako ni wazi inaonesha wazi kazi nzuri Aya Tunaendelea na kazi Ya kuangusha Vyuma Juu Ya Vyuma na mwaka Huu natoa #Album Ambayo itafanya Yule asiyemwelewa Barnaba ajue na aelewe mwisho nawakumbusha Umoja ni nguvu utengano............. Tusijenge Matabaka Nndugu zangu

Una Maoni Gani ?

TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK

During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright JICHO LETU
Back To Top