Featured

Loading...


Msanii wa Bongo Movies Niva Anakesha, Ila Hana Demu

Niva Anakesha, Ila Hana DemuMSANII nyota kwenye tasnia ya filamu nchini, Mohamed Zuberi ‘Niva’ amesema licha ya kupenda kukesha katika klabu za usiku, lakini ‘anashukuru’ hajawahi kuchunwa na wanawake.
Niva ambaye amekuwa akiwakosha mashabiki wa filamu kwa filamu zake, alisema kikubwa zaidi anachokutana nacho ni kushuhudia mateso makubwa waliyonayo wanaume wenye kupenda kuhonga. “Kwa kweli huwa nashangaa jamaa wanaotumia mkwanja kuonga kwa ajili ya mapenzi, inashangaza mno na wanashindwa kufikia malengo yao ya kimaisha tu,” alisema.
Niva alisema, ni bora kabisa kwa mtu kuachana na mawazo ya kusaka wanawake, ila cha muhimu kutafuta mwanamke mmoja atakayeridhika naye.
Nyota huyo yeye kwa sasa amekamilisha ujio wa filamu yake mpya iitwayo ‘Mapenzi Umaskini’ akiwa na lengo kubwa la kuwakosoa jamaa hao wanaotumia mkwanja mrefu katika mapenzi yasio na dira.
Ujio huo wa Mapenzi Umaskini umewashirikisha nyota wengine kama Nikita, Mamtei pamoja na Dino na muda si mrefu itaingia sokoni.

TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK

During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright JICHO LETU
Back To Top