WANAWAKE wengi waliowazuri wa sura huwa wanapenda kuolewa na
wanaume wabaya wa sura. Hii inatokana na ukweli kwamba wanawake wenye
sura nzuri hupenda kuolewa na wanaume wenye sura mbaya ili kulinda uzuri
wao kwani wanaamini kuwa iwapo ataolewa na mwanaume mwenye sura nzuri,
uzuri wake hautaonekana kwa watu kwani mwanaume pia ataonekana mzuri
jambo ambalo litamupunguzia mwanamke kuonekana mzuri katika jamii. Hii
ndio maana wanawake wengi wenye sura nzuri wanapenda kuolewa na wanaume
wenye sura mbaya. Dr. Linda Mtaalamu wa masuala ya mapenzi na uhusiano
anasema " Wanawake wengi wenye sura nzuri wanatabia ya kutaka waonekane
kuwa ni warembo, jambo ambalo linawapelekea kuolewa na wanaume wenye
sura mbaya ili waendelee kushine katika jamii".
Pia wanaume wenye
sura mbaya wanapenda kuoa wanawake wenye sura nzuri ili kulinda hishima
yao kwa kupitia wake zao. Kwahili ndugu msomaji naomba ujaribu kufanya
uchunguzi wa kina kwa kuangalia wanaume wenye sura mbaya, utagundua
kuwa wengi wao wanapenda kuoa wanawake wazuri na wengi wao tayari
wameshaoa wanawake warembo. Je, kwa upande wa wanawake weusi; je,
wanapenda wanaume wa aina gani? Na kwa upande wa wanaume weusi pia
wanapenda wanawake wa aina gani? Pia na wewe kama unajitabua kuwa uko
hivi au vile je, unapenda sweetheart wako aweje. Sasa
tujadili.........................!!!!!
TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues.
Journalists who produce the best stories published or broadcasted in
media that reach African audiences, will win a major international
reporting trip.
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues. Journalists who produce the best stories
published or broadcasted in media that reach African audiences, will win
a major international reporting trip.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
on Wednesday 17 June 2015
Post a Comment