Featured

Loading...


Mwigulu Nchemba Achefukwa 'Sichafuki Kwa Uongo, na Uzushi Kama Huu ni wa Kupuuza'

Ndugu zangu, uongo wa aina hii tena unapotolewa hadharani ni aibu kwa Taifa. Kwanza mimi nimeanzia mizunguko Pemba na Unguja na nimekwenda kwa ndege na niliondoka kwa ndege Dodoma.

Wewe unasema natumia gari la Serilikali, yaani uvushe gari la serikali mpaka Pemba na Unguja?

Pili vijana wote uliowataja na kuwaita masalia wapo Dar na Dodoma halafu mpaka sasa hakuna eneo nimetoa hela yoyote ile kwenye hili suala.

Uongo wa aina hii ni ukosefu wa maadili, ukosefu wa uungwana na ukosefu wa hofu ya Mungu.

Mbali na hapo hakuna Mkoa uliopo bara nilioanza kutafuta wadhamini. Hivyo basi, tuhuma hizi ni Uongo, Uzushi na unatakiwa kupuuzwa.

TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK

During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright JICHO LETU
Back To Top