Featured

Loading...


PICHA ZA UTUPU: MSANII WA BONGO MOVIES JINI KABULA APATA ‘SOMO’ KUBWA!


BAADA ya hivi karibuni picha zake za utupu kusambaa kwenye mitandao ya kijamii, staa wa filamu Bongo, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’ amefunguka kwamba amepata ‘somo’ kubwa la kuwa makini kwa kila akifanyacho katika maisha yake.
Akistorisha na Amani, Jini Kabula alisema baada ya picha zake hizo kusambaa zilimtesa sana kwani mama yake alimjia juu na kuumia lakini anashukuru kwani alimwelewesha na sasa wako vizuri na ndugu wamemwelewa ila zimempa somo kubwa na haitatokea tena katika maisha yake. 

“Jamani ile ilikuwa bahati mbaya na haitajirudia tena kamwe, nashukuru mama na ndugu zangu wamenielewa na yameisha naendelea na maisha, hao wengine wanaoendelea kusema kuhusu hizo picha wala siwajali,” alisema Jini Kabula.>>> BOFYA HAPA KUONA PICHA

TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK

During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright JICHO LETU
Back To Top