Featured

Loading...


UONGOZI WA UMOJA WA WENYEVITI SERIKALI ZA MTAA KUONANA NA RAIS KIKWETE

Mwenyekiti wa Mtaa wa Mtambani 'A' Kata ya Jangwani, Ally Sultan Hamed (katikati), Habiba Mondoma Katibu wa Umoja wa wenyeviti wa serikali za mtaa (kushoto) pamoja na Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Kigogo-Mbuyuni, Baraka James wakiwa katika mkutano na wanahabari (hawapo pichani).
Wanahabari wakifuatilia tukio.
Baadhi ya wenyeviti wa serikali za mtaa  wakiwa katika mkutano huo.
UMOJA wa Uongozi wa Wenyeviti wa Serikali za Mtaa wa Wilaya ya Kinondoni na Ilala, unataka kuonana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Kikwete ili waweze kutatuliwa matatizo yao.
Kauli hiyo imetolewa leo jijini Dar es Salaam na Mwenyekiti wa Umoja huo, Ally Sultan Hamed alipokuwa akizungumza na wanahabari katika Ukumbi wa Idara ya Habari (Maelezo) kuhusiana na barua ambayo wanaiandaa ya kutaka kuonana na rais.
Bwana Hamed amesema kuwa barua hiyo itaambatana na taarifa iliyotolewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salam, Said Meck Sadick ya kuwataka wananchi waishio mabondeni kuhama pasipo kuangalia miundombinu yao iliyojengwa kwa kuelekeza katika makazi ya watu.
 Aliongeza kuwa endapo watafanikiwa kuonana na Rais Kikwete wataweza kumweleza mambo mengi yanayowahusu wananchi wanaotakiwa kuhama mabondeni pasipo kuangalia sehemu ya kuwaweka na hivyo wanatarajia kuipeleka barua hiyo Jumatano wiki ijayo.
NA DENIS MTIMA /GPL

TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK

During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright JICHO LETU
Back To Top