Mtangazaji na muigizaji wa filamu hapa Bongo, Lulu Mathias ‘Aunty Lulu’ amewashangaa wanawake wote ambao wamekuwa wakimtukana kila anapoweka picha zenye mikao ya kihasara kwenye mtandao ya kijamii na kusema endapo wataendelea atawachukulia mabwana zao.
Akizungumza na Tanuru la Filamu, Aunt Lulu alisema kwamba wanawake ndiyo wanaongoza kumtukana kila akiweka picha za kuonyesha jinsi Mungu alivyolia kumuumba na kumpa mapaja yenye ushawishi kwa kila anayeyaangalia awe wa kike ama wakiume.
“ Mungu amenijalia akuwa na hips nzuri , makalio makubwa na muonekano mzuri kwa watu sasa kwa nini wananitukana kana kwamba ninawabebea mabwana zao na endapo wataendelea nitafanya hivyo ili waseme vizuri kwani nimechoka kusemwa kwani nina uhuru wa kuweka picha yoyote ilimradi haivunji maadili ya Kitanzania,” alisema Aunty Lulu.
Alisema kamwe hataacha kufanya hivyo kwani yupo huru na anajua nini anakifanya na si kuongozwa na watu tena wanawake wenzake ambao kwa kiasi kikubwa wamejaa wivu kuliko wanaume.
Tanuru la Filamu
TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues.
Journalists who produce the best stories published or broadcasted in
media that reach African audiences, will win a major international
reporting trip.
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues. Journalists who produce the best stories
published or broadcasted in media that reach African audiences, will win
a major international reporting trip.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
on Tuesday, 7 July 2015
Post a Comment