Featured

Loading...


Mwigizaji Aunty Ezekiel Adaiwa Kuhongwa Gari na Kigogo...Mwenyewe Asema Haya

Aunty Ezekiel
BAADA ya kuanika picha za gari lake jipya aina ya Audi A4 kwenye akaunti yake ya mtandao wa kijamii wa Instagram akimshukuru mpenzi wake, Moses Iyobo ‘Mozes’ kwa kumzawadia ‘mkoko’ huo, staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel Grayson ‘Mama Cookie’ anadaiwa kuhongwa gari hilo na kigogo.

Gari analodaiwa kupewa zawadi Aunt. 
Mara tu baada ya ‘kuposti’ picha za gari hilo, baadhi ya mashabiki wa Aunt ambao ni watu wake wa karibu waligawanyika, wapo waliodai gari hilo lilitokana na kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wengine walidai amehongwa bila kumtaja mtu aliyemuhonga.

Jamani Aunt si useme tu kuwa gari umehongwa? Usimsingizie Moze Iyobo na kama si hivyo basi ni fedha ulizopata kwenye kampeni si bure,” alisema mmoja wa mashabiki wake hao.

Alipobanwa na mwandishi wetu, Aunt alifunguka kwamba, hana la zaidi kwani ameshaweka wazi gari hilo amelitoa wapi na asiyeamini abaki hivyohivyo. “Nimenunuliwa na baba Cookie, hayo mambo yenu ya kampeni mimi siyajui wala sijahongwa kwani hakuna mwenye ubavu wa kunihonga kwa sasa,” alisema Aunt.
GPL

TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK

During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright JICHO LETU
Back To Top