Featured

Loading...


BOZI AHOJIWA NA GLOBAL TV ONLINE, ASIKITISHWA NA ALLY NIPISHE KUKATAA GARI LAKE

Fatuma Ayubu `Bozi’ katika pozi ndani ya studio za Global TV Online.
MSANII wa filamu Bongo, Fatuma Ayubu `Bozi’ leo amehojiwa na Global TV Online ambapo ameonyesha kusikitishwa na kitendo cha msanii wa Bongo Fleva, Ally Salumu `Ally Nipishe’ kukataa gari alilotaka kumnunulia.
Bozi amefunguka hayo wakati akihojiwa katika Exclusive Interview ya Global TV Online leo. Bozi amesema aliguswa na matatizo yaliyompata Ally Nipishe ndiyo maana akaona ampe zawadi ya gari.
Ifuatayo ni sehemu ya mahojiano ya Global TV Online na Bozi...
Global TV Online: Bozi karibu Global TV Online, Ilikuwaje ukaamua kumnunulia gari Ally Nipishe wakati wewe unatumia usafiri wa daladala na bajaj?
Bozi: Asante, niliguswa na matatizo yaliyompata Ally Nipishe ya kudanganywa na mpenzi wake kisha kununua gari la wizi na kuhusu mimi kutokuwa na gari si kweli gari ninalo ila lipo gereji na mbali na hilo ninamiliki bajaj pamoja na pikipiki za biashara vitu ambavyo nimenunuliwa na pedeshee mwenye hela zake anayeniweka mjini.
Bozi katika pozi na baadhi ya wanahabari wa Global.
Global TV Online: Uliwahi kukaririwa ukisema umetoka kimapenzi na mastaa 15 wa Bongo, hii ilikuwaje na huoni kuwa ni hatari na haujatulia?
Bozi: Ni kweli nimetoka na mastaa zaidi ya 15 lakini si kwamba nakuwa nao kwa wakati mmoja, na kuhusu kutulia mimi nimetulia ila pengine nyota yangu ya mastaa ndiyo maana nawapata.
Wafanyakazi wa GPL wakishow love na Bozi.
Msanii huyo alifunguka mambo mengine kibao ambayo yataruka katika Exclusive Interview ya Global TV Online wiki ijayo.

TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK

During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright JICHO LETU
Back To Top