Featured

Loading...


MAAJABU AJALI YA BASI KUGONGA TRENI

NI maajabu ya Mungu! Nyuma ya tukio la ajali ya basi kugona treni iliyotokea hivi karibuni, yamebainika maajabu ya aina yake baada ya mtoto Alhaji Mdoe aliyekuwa amepakatwa na mama yake kukutwa akiwa hai wakati mama yake akiwa amefariki dunia.
Ajali hiyo ilitokea Jumatano asubuhi eneo la Kibaoni Wilaya ya Kilosa mkoani hapa, ambapo mama aliyekuwa amempakata mtoto huyo alikuwa miongoni mwa watu watano waliofariki dunia katika ajali hiyo huku ndugu zake wengine wakijeruhiwa vibaya.
Akizungumzia tukio hilo, baba wa mtoto huyo, Mdoe Ally, mkazi wa Kijiji cha Tingiga, Kilosa, alisema kwenye basi hilo alikuwa yeye na familia yake akimpeleka mkewe Amina Mohamed kwa mganga Mlandizi Mkoa wa Pwani aliyekuwa akisumbuliwa na maradhi ya miguu na mikono.
“Nilikuwa safarini kwenda Mlandizi kumpeleka mke wangu kwa mganga kwa bahati mbaya wote tumejeruhiwa isipokuwa mtoto wangu mdogo Alhaji ambaye alibebwa na mama yake (mkewe), Husna na Salehe (wanaye) wamevunjika miguu na mama yao ameumia kichwani,” alisema Mdoe ambaye kwa wakati huo (juzi), alifichwa kama mkewe alifariki kwenye ajali hiyo.
Mganga Mfawidhi wa Hospital ya Wilaya Kilosa, Dk. Dikson Masale amethibitisha kupokea maiti 5 na majeruhi 31.
“Ni kweli tumepokea majeruhi 31 kati yao wanaume 10, wanawake 15 na watoto 6 na maiti 5 ambazo zimetambuliwa kwa majina ya Saleh Gomba, Amina Mohamed, Mwajili Mzange, Surati Mwajili na dereva wa basi hilo, Masoud Cholo,” alisema Dk. Masale.
Kaimu Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro, Mussa Malambo amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo iliyohusisha gari lenye namba za usajili TB37 CMT Isuzu Coaster lililogonga treni.

TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK

During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright JICHO LETU
Back To Top