Featured

Loading...


TIGO YAWAFUTURISHA WAKAZI WA JIJI LA MBEYA , MKAPA HALL

 Baadhi ya wakina dada wakiwa wamejiweka sawa kuwapokea wageni mbalimbali ambao walifika Ukumbi wa Mkapa Jijini Mbeya kwa ajili ya kufuturu.
 Baadhi ya wadau wakiwa wanangoja muda wa kufuturu uwadie.
 Bw. Francis Mwasamwene, Meneja wa Mauzo Tigo Mkoa wa Mbeya ambaye pia alikuwa mratibu wa kufanikisha shughuli hii ya kuwafuturisha wakazi wa Mbeya akiongea machache.
Meneja wa Tigo Pesa Kanda ya Njanda za Juu Kusini, Thomas Meitaron akitoa salamu za shukurani kwa niaba ya Tigo kwa wakazi wa Jiji la Mbeya bila kujali Dini kwa kujitokeza na kufuturu pamoja, alisema Tigo ni sehemu ya familia ya wanambeya na pia Waislam kwa ujumla ndio mana wafanyakazi na wananchi wa Mbeya wamejumuika pamoja kufuturu, mwisho alisisitiza kuwa sasa huduma za Tigo zimeboreshwa na zimemfikia kila mmoja.
Sheigh Ally Hassan Furukutu ambaye ni Katibu wa Bakwata Mkoa wa Mbeya , akiwashukuru Tigo kwa moyo waliojitolea kuwafuurisha wakazi wa Jiji la Mbeya bila kujali Dini wala Kipao cha mtu, na aliahidi ushirikiano mzuri kati ya Tigo na Waislam, Mwisho alitoa Dua kwa wote.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Ahmed Msangi (wa kwanza kushoto) akipata futari pamoja na wegeni wengine walioalikwa kufuturu
Baadhi ya Wafanyakazi wa Tigo pamoja na wakazi mbalimbali kutoka jijini Mbeya wakichukua Futari ambayo iliandaliwa na kampuni la Tigo Tanzania.
Baadhi ya watu mbalimbali wakiwemo watumishi waserikali, wananchi na wafanyakazi wa Kampuni ya simu ya Tigo wakiendelea kupata Futari
 Baadhi ya wakina dada na akina mama wakiendelea kupata Futari iliyoandaliwa na Kampuni ya simu ya Tigo
 Wakiendelea kupata futari
 Picha ya Pamoja baada ya Kumaliza Kufuturu
 
Na Mbeya yetu

TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK

During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright JICHO LETU
Back To Top