Featured

Loading...


BREAKING NEWS!!!!!! NAIBU WAZIRI MWINGINE MKUBWA SERIKALINI ATANGAZA RASMI KUJIUNGA CHADEMA

Mh. Dkt. Makongoro Mahanga akizungumza na waandishi wa habari
Naibu Waziri wa Kazi na Ajira na Mbunge wa Segerea anayemaliza muda wake,Mh. Dkt. Makongoro Mahanga, ametangaza kuihama CCM kutokana na kutokuwepo Demokrasia ya Kweli ndani ya CCM.
Ametangaza kujiunga na CHADEMA.Naibu Waziri, Dk. Milton Makongoro Mahanga, atazungumza na waandishi wa habari nyumbani kwake Segerea. Amesema ana neno zito anataka kuwaambia Watanzania. Ukizingatia kuwa Makongoro ni mmoja wa wafuasi watiifu wa Mheshimiwa Lowassa, na kwa mazingira ya sasa ya kisiasa nchini, unaona kabisa Makongoro anamfuata Lowassa. Subirini. Kama kawaida hatuleti uzushi hapa. 

CHANZO JAMII FORUM

TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK

During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright JICHO LETU
Back To Top