Mwanafunzi
wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM), Mussa Msafiri (23), alipandishwa
kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni jana akituhumiwa
kumwingizia vidole sehemu za siri mtoto mwenye umri wa miaka minne.
Mbele
ya Hakimu Issa Kasailo, Wakili wa Serikali, Matarasa Maharagande,
alidai mtuhumiwa alitenda kosa hilo Januari 7 mwaka huu maeneo ya
Sinza alikokuwa anaishi mwanafunzi huyo.
“Mtuhumiwa ulitenda kosa hilo wakati ukitambua kwamba ni kinyume cha sheria za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,” alidai wakili.
Baada ya maelezo hayo mtuhumiwa alikana kutenda kosa hilo na upelelezi unaendelea.
Hakimu
Kasailo alisema shitaka hilo linadhaminika hivyo alimtaka mtuhumiwa
kuwa na wadhamini wawili waaminifu watakaoweka saini ya maandishi ya Sh
milioni tano kwa kila mmoja.
Kesi hiyo imeahirishwa hadi Febuari 27 mwaka huu na mtuhumiwa aliachiwa huru baada ya kutimiza masharti ya dhamana.
TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues.
Journalists who produce the best stories published or broadcasted in
media that reach African audiences, will win a major international
reporting trip.
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues. Journalists who produce the best stories
published or broadcasted in media that reach African audiences, will win
a major international reporting trip.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
HABARI
on Monday, 25 January 2016
Post a Comment