Barani Ulaya kwasasa ni vurugu kwenye soko la usajili wa wachezaji kila
timu ikitaka kujiimarisha kuhakikisha inafanya vizuri kwenye ligi na
kumaliza ikiwa imetimiza malengo iliyojiwekea kabla ya kuanza kwa msimu.
Hizi ni story tano ambazo zimepewa kipaumbele kwenye vyombo vya habari vya barani Ulaya.
5. Liverpool imefeli kukamilisha dili la Teixeira
Liverpool imeripotiwa kurudi nyuma kwenye harakati zake za kuiwania
saini ya mshambuliaji wa Shakhtar Donetsk Alex Teixeira mwenye miaka 26
kutokana na klabu yake kuihitaji huduma ya mchezaji huyo.
Mchezaji huyo wa kimataifa wa Brazil ambaye ataigharimu Liverpool £28m
ameshafunga mabao 26 hadi sasa kwenye michezo 25 ya mashindano yote.
(Daily Mail)
4. Newcastle inamtaka Remmy wa Chelea
Striker wa Chelsea Loic Remmy huenda akarejea kwenye klabu yake ya
zamani Newcastle United lakini dili hilo litafanikiwa endapo Guus Hidink
ataweza kufanikisha kumsajili mshambuliaji wa kibrazil Alexandre Pato.
Mfaransa huyo amejikuta akipambana kuwania nafasi kwenye kikosi cha
kwanza cha Stamford Bridge bila mafanikio tangu alipojiunga na mabingwa
watetezi wa Premier League akitokea St James Park. (Sources-Chronicle)
3. Beki wa Arsenal anataka kuondoka
Arsenal huenda ikampoteza beki wake Mathieu Debuchy kwenye kipindi hiki
cha usajili wa dirisha dogo kutokana na beki huyo kuwaniwa na vilabu vya
Sunderland na AstonVilla.
Mchezaji huyo wa kimataifa wa Ufaransa alijiunga na Arsenal akitokea
Newcastle United lakini nafasi yake kwenye kikosi cha kwanza
imechukuliwa na Mhispania Hector Bellerin.
Michuano ya Euro inakaribia kuanza na endapo ataendelea kusugua benchi
atapoteza nafasi kwenye kikosi cha Ufaransa ambao ndiyo waandaaji wa
michuano hiyo.
Anatafuta nafasi ya kwenda kucheza kwa mkopo kwenye kikosi cha Aston
Villa lakini boss wa Sunderland Big Sam naye pia anamuwinda. (Source:
The Daily Mail)
2. Kwasasa siko tayari kujiunga na Man United
Taarifa ambazo hazijathibishwa kutoka Hispania zinadai kwamba,
mshambuliji wa Real Madrid Gareth Bale angejiunga na Manchester United
lakini kukosekana kwa mfululizo wa matokeo mazuri kwenye klabu hiyo
kumemfanya abadili maamuzi. (Source: The Independent)
1. Ed Woodward amshauri Van Gaal kusalia United
Gazeti la The Sun la Uingereza limesema kwamba, Manager wa Manchester
United Louis Van Gaal aliomba kujiuzulu baada ya kipigo cha Jumamosi
iliyopita kutoka kwa Southampton lakini aliombwa kuendelea kusalia
United na makamu mwenyekiti wa timu hiyo Ed Woodward ambaye hataki
kubadili kocha katikati ya msimu. (Source: The Sun)
TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues.
Journalists who produce the best stories published or broadcasted in
media that reach African audiences, will win a major international
reporting trip.
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues. Journalists who produce the best stories
published or broadcasted in media that reach African audiences, will win
a major international reporting trip.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
MICHEZO
on Wednesday, 27 January 2016
Post a Comment